Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Hivyo Ni vyama vichekesho ,vyama vya kina Kawe Alumni waimba mapambio ya kusifu na kuabudu.
 
Unafiki wenu ipo siku utawatokea puani endeleeni kutafanya wtz wajinga
 
HivI vyama vyote 12 havina hata mbunge mmoja kwenye Bunge letu la Jamhuri....

Kweli hivyo ni vyama tunavyoweza viita kuwa ni CCM-B
Halafu wanasema viko hai lakini chadema imekufa!😀🤦🏾‍♂️
 
Hatuwez kukubali upumbavu wa jecha ujirudie tena lazima kinuke enough is enough!
 
Hakuna hata MCCM mmoja anayeweza kumgusa maalim Seif! Kwani ile sheria mpya ya kuwa na immunity haimuhusu? Kuna wakati Magu alikuwa anamchochea Cheni amkamate Maalim jawabu ya Cheni kwa Magu ilikuwa, " Mkamate wewe huko Tanganyika si anakuja?"
 
Mbona hapo hakuna chama cha upinzani?
 
Ndiyo jina lao haswa lenye heshima
HivI vyama vyote 12 havina hata mbunge mmoja kwenye Bunge letu la Jamhuri....

Kweli hivyo ni vyama tunavyoweza viita kuwa ni CCM-B
 
MBONA SIKUWASIKIA WAKIKEMEA ZILE KAULI ZA WALE VIONGOZI WA CCM WALIOSEMA ZITTO AUAWE?
 
BINAFSI KAMA MWANANCHI SIKUBALIANI KABISA NA NINYI WAJINGA WAKUBWA NA WACHUMIA TUMBO
 
wanasiasa bwana, wepesi mno kwenye kutamka ila wataopata madhara ni wengine, huku familia zao zikibakia salama.
 
WAKAFANYE UCHAGUZI WA VIONGOZI WA VYAMA VYAO KWANZA NDIPO WAJE KUTUHUTUBIA UGORO WAO HUO. NYAMBAFU HAWA
 
Vifaranga vya CCM.
 
H
Hili tamko liliandikwa pale Lumumba?Mbona Mwandiko unafanana na wa H.Polepole.
 
CCM B at work
 
Wasaka tonge club!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…