Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Ccm waache usanii hakuna cha vyama hapo wala nini. Hao ni wenyewe ccm ila wanajifanya kujibadilisha sura. Bure kabisa.
 
Hadi NCCR[emoji15][emoji15]
 
Hao wote washenzi tu
 

This is absurd and unbelievable! Remember from the Holy books which, if well quoted reads “ A KINGDOM FIGHTING AGAINST ITSELF WILL NOT STAND(SURVIVE)! Opposition political parties throw stones at each other instead of the ruling party! It means wapo kwa matumbo yao tu hawana sera mbadala ya chama tawala. They are just mere flag bearers without vision and people(leaders) without vision perish!! They should expect politically nothing substantive till 2090 A.D.! HAWANA SERA. Period.
 
Sio 12 ni 13 pamoja na alowatuma ccm
 

Yani Mbatia kafikia kiwango hiki? Yani kuna kauli yake ya kinafki naichukia inayosema:

“Maslahi mapana ya Mama Tanzania”

Nilikuwa sijui Mama Tanzania ni tumbo lake aisee! Na anatarudi bingeni
 
wasaliti wa taifa letu ni hivyo vyama 12. Wamekubali kushiriki katika kuwadhulumu wazaanzibari haki ya kuchagua kiongozi wamtakae. ACT ina zaidi ya thuluthi mbili ya kura za wazanzbari ila hawana nguvu y vyombo vya dola kwa hiyo nyinyi munaotegemea nguvu ya dola mujue kuna nguvu ya wananchi . Siku wananchi wakikataa unyanyaswaji ndio siku mutajua kwanini kuku hakojoi.
 
Rubbish! Hivyo vyama vyoote ni vya sisiemu
 
Wanatafuta ubunge
 
 

Attachments

  • VID-20200624-WA0036.mp4
    2.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…