Vyama vya siasa kuhakikiwa nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu

Vyama vya siasa kuhakikiwa nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu

Mlengwa ni CDM, huenda wahamaji wa hivi karibuni wamehama na file za siri,

Kwa kuwa kwenye nchi za kiafrika siasa ni vita ya kiuchumi, cdm wajipange sana kwani wanatishia kuwapoka ccm ulaji
 
Huyu kiazi mla rushwa utahakikije vyama wakati vimezuiwa kufanya siasa kwa miaka zaidi ya minne
 
Wacha ufala wako, hii kanuni ipo katika sheria ya vyama vingi nchini.

Majuha utawajua kwenye vi post vyenu bya ki k-vant mjinga wa mbauda wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Juha mwenyewe, izo sheria ndio mumetunga haraka haraka ili kudhibiti upinzani from the day one, na sasa ndio munaanza kuzifanyia kazi buku 7 unayokula kwa mwezi ndio inakufanya uje hapa na kiburi. ccm imeifilisika sera za kuwashawishi Wtz muulize bashiru ameweka wazi mtatumia na dola kubaki madarakni.
 
Back
Top Bottom