Juha mwenyewe, izo sheria ndio mumetunga haraka haraka ili kudhibiti upinzani from the day one, na sasa ndio munaanza kuzifanyia kazi buku 7 unayokula kwa mwezi ndio inakufanya uje hapa na kiburi. ccm imeifilisika sera za kuwashawishi Wtz muulize bashiru ameweka wazi mtatumia na dola kubaki madarakni.