Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Yaliyopo kule,Hamas wanatawala Gaza,Fatah na mamlaka ya palestina wanatawala West Bank.

Hamas na Fatah hawapiki chungu kimoja ila lengo lao Moja.

Ukiandamana unawaonea Mamlaka ya Palestina hawana ubavu WA kumdhibiti Hamas.

Hivi kweli Hashim Rungwe-Chauma ataandamana yule?

Taifa teule Leo hii la kushindwa kuwaokoa mateka 260, Hilo Taifa si lina aina zote za siraha tofauti na mgambo wenye mawe mkononi?
 
Cha msingi meseji iwe send kwa Hamas kwa lugha nzito
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas
Na waislamu wataandamana kupinga Israel. Waaandamanaji watakutana kati kati ya barabara
 
Haihitaji maandamano! Ila ni kuwasiliana na ubarozi wa Qatar! Ni moja ya nchi zinazokifadhiri kikundi cha Hamas! Nadhani tuna ubarozi wa Qatar hapa Tanzania.
Isitoshe ni nchi jirani na Oman kwa wajomba zetu.
Na wewe wasiliana na balozi Isreal america
 
Anza kuandamana halaf usichojua ni kuwa HAMAS ni kama Al shababu somalia huwez laumu serikali ya Parestina
Kwa hiyo Marekani na wengine kuita wao ni International terrorists kama Alshabab au Alkaeda wako sahihi Kwa hiyo wateke watu wetu halafu tukiwataka watutishie nyau? Haiwezekani

Kuwa unateka raia wa nchi zingine halafu unawatishia nyau wakitaka watu wao waliowateka? Nyoko haiwezekani

Uzuri Tanzania tulishapigana vita na wapalestina tukawateka wengi tu

Walimuunga mkono Idd Amin kwenye vita yetu na Uganda

Idd Amin akaomba msaada Palestina wakaja na silaha zao na wapiganaji wao tuliwateka kibao .Ghadafi akataka waachiwe huru kwa kulipa mamilioni ya Dola hao wapalestina kwa niaba yao waachiwe

Nyerere alitaka kukubali kuwa sawa ni sehemu ya kulipa gharama za vita kaitia hasara Tanzania kanisa katoliki wakamzuia akipowaomba ushauri kuwa hiyo ni biashara ya utumwa asifanye hivyo akasema watakaa wapi wakati vita inaendelea na wao hao wapalestina wanaendelea kupigana vitani?

Kanisa katoliki likakubali kuwachukua hao mateka wa kivita wa kipalestina wakaenda kuhifadhiwa kwenye majengo ya kanisa katoliki nyanda za juu kusini wakila vure na kutunzwa vizuri mno hadi vita ilipoisha wakarudishwa makwao

Hivyo wapalestina sio watu wa kubabaisha Tanzania na makundi yao gaidi

Alkaeda walishajaribu,Tanga,Mwanza, mkuranga ,kibiti Rufiji nk wakiua viongozi wa siasa na polisi ,kusini na pwani nk waliishia kuchinjwa kama kuku wakatorokea Msumbiji na walichijwa kweli kweli bila huruma na vikosi vyetu

Tuandamane tudai watu wetu waachiwe na Hamas bila woga

Hao Hamas wasitubabaishe waachie watu wetu
 
Afadhali taifa teule. Allah Mungu wa kweli hana mshirika muweza ya yote anaabudiwa kwa nidhamu, mashindano hadi anasafishiwa mikundu na marinda kumbinulia kashindwa kweli kujngamiza Israel na kuikomboa palestina?

ITR incharge
 
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Hatua hii haitoshi, maandamano yawe ni kushinikiza Serikali iamuru maafisa wa ubalozi wa Palestina wasitishe shughuli zao hapa nchini mpaka Watanzania hao waachiwe.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hatua hii haitoshi, maandamano yawe ni kushinikiza Serikali iamuru maafisa wa ubalozi wa Palestina wasitishe shughuli zao hapa nchini mpaka Watanzania hao waachiwe.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Vyote vitumike na wengine wenye ushauri waweke hadi watu wetu watanzania wenzetu waachiliwe na Hamas
 
Humu kuna Wabongo wanasapoti harakati za Hamas, lakini uwezi kusikia wakipinga kitendo cha HAMAS kuteka watanzania. Ukiteka Ndugu zetu tayari wewe ni adui kwetu
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Serikali ya Palestina Chini ya Mahmoud Abas ipo located western bank na Hamas wapo Gaza kama Hufahamu hawa ni Mahasimu. Viongozi wa Palestina ambao wapo Western Bank hawana nguvu yoyote Gaza.
 
Serikali ya Palestina Chini ya Mahmoud Abas ipo located western bank na Hamas wapo Gaza kama Hufahamu hawa ni Mahasimu. Viongozi wa Palestina ambao wapo Western Bank hawana nguvu yoyote Gaza.
Haina shida umoja wa Mataifa na Tanzania tunambua nchi ya Palestina ambayo ndio ina ubalozi Tanzania

Maandamano twende kwao wao ndio watawafikishia hao Hamas wa Gaza walioteka watu wetu kuwa hizi ndio sakamu zenu toka kwa watanzania wanataka muachie watu wao mliowateka

Watazifikishaje hayatuhusu Hamas hawana ubalozi Tanzania

Palestina kama nchi ndio wana ubalozi hapa

Wao ndio wapokee hizo taarifa kuwa tunataka watanzania wetu waliotekwa na Hamas Waachiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…