Bora yupi? Wa vyombo habari? Au wa vyombo dola?Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu.
Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha wananchi.
Kama kuna faida basi wakulima wangalienda nao kuvitumia wakapata mavuno mazuri. Uhuru wa nchi hii haukupatikana kwa kuvamia vyombo vya habari .
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu....
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida,moja tu.
Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha wananchi.
Kama kuna faida basi wakulima wangalienda nao kuvitumia wakapata mavuno mazuri. Uhuru wa nchi hii haukupatikana kwa kuvamia vyombo vya habari .
Bora shule zifunguliwe uende zako shule maana huu UJINGA wako uliopost hauna kichwa wala miguuNini lengo la vyombo vya habari kama sio kuwapatia watu habari? Sasa wewe unataka wasitumie vyombo vya habari, huyo mkulima uliesema na wananchi wote kwa watajuaje harakati za vyama kinachoendelea nchini kama vyombi vya habari hawatowi habari hizo? Inaonyesha hujui umuhimu na nguvu za vyombo vya habari!
Pamoja na kuwa midomo yao imepigwa plaster ila bado wewe na ukoo wako mnahaha.kwani mlikosea wapi?Nini lengo la vyombo vya habari kama sio kuwapatia watu habari? Sasa wewe unataka wasitumie vyombo vya habari, huyo mkulima uliesema na wananchi wote kwa watajuaje harakati za vyama kinachoendelea nchini kama vyombi vya habari hawatowi habari hizo? Inaonyesha hujui umuhimu na nguvu za vyombo vya habari!