Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro
Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka
Kama kawaida yangu mimi nikasema sitiki na sitoki na huu ndiyo msimamo wangu mda wote yule Mwamba alikaa kimya baadaye akanivuta pembeni akanipa code hii
Kumbe vyama vya siasa vyote vinatakiwa kuwa kwenye mfumo wa serikalini kukisapoti chama cha mapinduzi
Na ikitokea chama chochote Cha upinzani kimejiimarisha na
na kuleta competition ya kweli kwa CCM basi serikali hukishughulikia haraka na KUIANGAMIZA Kisha hutengeneza kingine kushika nafasi Ile
Kuhusu Lissu kanambia anawanyima sana usingiz lakini akasema faraja Yao kubwa ni kwamba Yuko mwenyewe hivyo ni rahisi kudhibiti
Nikamuuliza endapo hawahofu kina lema na heche akanambia hao wote ni vifaranga na wakiitwa mezani wanatulia na pia unaweza kuwafinya na kelele zisiwe na madhara
Kuhusu kutiki au kutoka wanasema game imekuwa over na Samia anasubiri kuapishwa na 29 October hakuna atajaribu kuzuia na baada ya mama kuapa atamwechia Lissu Kisha police wataanza kukimbia naye mitaani Kila atakapotaka kusimama wapo Hadi akate tamaa arudi zake ubeligiji watu waendelee kupiga ela.