VYAMA VYA UPINZANI MSIJE KUSEMA MMEIBIWA KURAW

VYAMA VYA UPINZANI MSIJE KUSEMA MMEIBIWA KURAW

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Wakati CCM tayari imeshateua mgombea uraisi wa JMT na ule wa Zanziba pamoja na kuchagua mgombea umakamo wa Raisi waJMT. Vyama vya upinzani havijulikani vinafanya nini, mfano TLP, NCCR, CUF, na ACT sijui hata kama bado viko hai. Tunajua CHADEMA wao baada ya uchaguzi ni mwendo wa kusindikizana nyumbani tu, utaikia mara leo ni tarime, Mara singida, mara bukoba, nk.. Mkishindwa namsema mmeibiwa kura, kumbe ni hamjiandai na uchaguzi.
Huu mwaka tutamuheshimisha mama Kura zote kwa Dr. Samia Suluhu Hassani,.
 
Back
Top Bottom