Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
sasa wewe mke wa mpolepole,umeamua kuja na id mpya eeh unapalilia kibarua cha mmeo naona
Ili iweje? Ahaaaa.....Wenzako hapo mwisho wa thread wanawekaga mawasiliano wewe sijui unakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
uingizwe kwenye malipo ya buku saba labda who knows?Ili iweje? Ahaaaa.....
Nimejiajiri nalima mboga mbogauingizwe kwenye malipo ya buku saba labda who knows?
Wakurugenzi walikuwa wanatumia pesa hovyo na ubadhirifu ulikuwa pmkubwa sana. Ndio maana hataki wawe na pesa kama kuna mradi wanaomba pesa alafu wanapewa. Pesa zinatakiwa zikae hazina. Na sio kwamba vyanzo vyote wamenyang'anywa.Kwenye halmashauri amedhibiti mianya ya rushwa au amewanyang'anya vyanzo vya mapato na kuwanyima hela? Wataiba nini kama hawana hela wala mapato? Research yako ina uwalakini. Nimesoma kidogo tu nikaacha maana hueleweki.
Wakurugenzi walikuwa wanatumia pesa hovyo na ubadhirifu ulikuwa mkubwa. Ndio maana hataki wawe na pesa kama kuna mradi wanaomba pesa alafu wanapewa. Pesa zinatakiwa zikae hazina. Na sio kwamba vyanzo vyote wamenyang'anywa.
Kuhusu ubunge na udiwani nimewaambia wajaribu.Na watapataje viti maalumu? au ndio sera ya chama kimoja imerudi ki-aina?
Wakurugenzi hao walikuwa wanatokana na chama cha FRELIMO? Je hawa mliowachagua sasa hivi kwasingizio cha ukada nao pia wanatumia hela hovyo?Wakurugenzi walikuwa wanatumia pesa hovyo na ubadhirifu ulikuwa pmkubwa sana. Ndio maana hataki wawe na pesa kama kuna mradi wanaomba pesa alafu wanapewa. Pesa zinatakiwa zikae hazina. Na sio kwamba vyanzo vyote wamenyang'anywa.
Jibu unaloWakurugenzi hao walikuwa wanatokana na chama cha FRELIMO? Je hawa mliowachagua sasa hivi kwasingizio cha ukada nao pia wanatumia hela hovyo?