Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Hata wewe unalo sema tu ni unafiki umekujaa na kujaribu kuficha ukweli. Ila siku zote ukweli humweka mtu huru. Ndugu yangu nenda Halamshauri angalia utekelezaji wa miradi kama Kilimo, mifugo na maendeleo ya jamii ndo utaamini ninachokuambia.Jibu unalo
Halmashauri zimefilisika baada ya kupokwa vyanzo vyote vya mapato. Hata ujenzi wa choo na ukarabati wa madawati kwa shule unategemea hazina. Tutafika? Fungua akili Mkuu.