Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani msipoteze muda kuweka wagombea Urais

Jibu unalo
Hata wewe unalo sema tu ni unafiki umekujaa na kujaribu kuficha ukweli. Ila siku zote ukweli humweka mtu huru. Ndugu yangu nenda Halamshauri angalia utekelezaji wa miradi kama Kilimo, mifugo na maendeleo ya jamii ndo utaamini ninachokuambia.

Halmashauri zimefilisika baada ya kupokwa vyanzo vyote vya mapato. Hata ujenzi wa choo na ukarabati wa madawati kwa shule unategemea hazina. Tutafika? Fungua akili Mkuu.
 
Mlikuwa mnazipiga sana .Darasa la la mil 20 mnajenga kwa mil 80. Vocha za pembejeo hewa. Hela za capitation mlikuwa mnagawana na haziwafikii wanafunzi. Sasa mmekomeshwa.
 
Mlikuwa mnazipiga sana .Darasa la la mil 20 mnajenga kwa mil 80. Vocha za pembejeo hewa. Hela za capitation mlikuwa mnagawana na haziwafikii wanafunzi. Sasa mmekomeshwa.
Ndomaana nasema wakati huo FRELIMO ndo ilikuwa madarakani?
 
Mkuu unataka kusema jiwe anauwezo wa kuongoza kuliko wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatoa ushauri murua kwa buku 7 fc ! Unapoteza muda wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…