Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile

Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita zaidi katika siasa za kushambulia watu ambao ni viongozi wa chama tawala kuliko kueleza sera zao , wakipewa dhamana wataifanyia nini nchi . Namaliza kwa kusema ukiacha tofauti zetu za kisiasa / vyama , nchi yetu ,amani na umoja wetu ni bora zaidi kuliko maslahi ya mtu binafsi au ya chama chake
 
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demosia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile

Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzani vimejikita zaidi katika siasa za kushambulia watu ambao ni viongozi wa chama tawala kuliko kueleza sera zao , wakipewa dhamana wataifanyia nini nchi . Namaliza kwa kusema ukiacha tofauti zetu za kisiasa / vyama , nchi yetu ,amani na umoja wetu ni bora zaidi kuliko maslahi ya mtu binafsi au ya chama chake
Huhitaji kusikikiza vyama.

Jambo dogo tu, moja wala halihitaji wewe kuwa kwenye VYAMA VYA SIASA.

PINGA MAUAJI, UFISADI, HUDUMA MBOVU na WIZI, UTEKAJI na HESHIMA YA KURA.

Wala hizo siyo SIASA ni MANTIKI tu na USTAARABU wa MWANADAMU.
 
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile

Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita zaidi katika siasa za kushambulia watu ambao ni viongozi wa chama tawala kuliko kueleza sera zao , wakipewa dhamana wataifanyia nini nchi . Namaliza kwa kusema ukiacha tofauti zetu za kisiasa / vyama , nchi yetu ,amani na umoja wetu ni bora zaidi kuliko maslahi ya mtu binafsi au ya chama chake
Uko kwenye nyumba ulio pangishiwa na ccm masaki?
Sawa, ebu weka sera za chama tawala hapa.
 
Sipingani na wewe lakini ni muhimu kwa wananchi tutambue sera za vyama vya upinzani watatufanyia nini tukiwapa dhamana kubwa ya uongozi sio kusimama jukwaani kusema fulani kafanya vile , fulani kafanya hivi hiyo haisaidiii
 
Sipingani na wewe lakini ni muhimu kwa wananchi tutambue sera za vyama vya upinzani watatufanyia nini tukiwapa dhamana kubwa ya uongozi sio kusimama jukwaani kusema fulani kafanya vile , fulani kafanya hivi hiyo haisaidi

Hayo ni mawazo potofu ndg , nipo neutral sipo upande wowote
 
Issue siyo vyama vya UPINZANI.

Hoja ni HESHIMA ya KURA.

Kama ni MANENO, yoyote anaweza kubweka tu, na asifanye na kura haiheshimiki HUWEZI Kumfanya kitu.

HESHIMA ya KURA iwepo.
 
Hayo mambo yote yatakuja hata mataifa unayoyaona kama mfano kwenye chaguzi zao jiulize wapo kwenye awamu ya ngp ya uongozi , Taifa kama Marekani lipo kwenye awamu ya 47 wameshapitia mengi yaliyo wafunza mpaka unaona wapo hapo
 
TZ hatuendi mbele sana.
Tunarudi nyuma.

Maana sasa hivi hata katiba, sheria na taratibu ambazo tulikubaliana wenyewe HATUZIHESHIMU kwasababu ya kigenge kidogo cha watawala.
 
Tatizo lililopo kila utawala wa Tanzania waupiga vita
 
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile

Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita zaidi katika siasa za kushambulia watu ambao ni viongozi wa chama tawala kuliko kueleza sera zao , wakipewa dhamana wataifanyia nini nchi . Namaliza kwa kusema ukiacha tofauti zetu za kisiasa / vyama , nchi yetu ,amani na umoja wetu ni bora zaidi kuliko maslahi ya mtu binafsi au ya chama chake
Cha cha upinzani ni kimoja tu nchi nzima CHADEMA hayo mengine ni matakataka
 
Sipingani na wewe lakini ni muhimu kwa wananchi tutambue sera za vyama vya upinzani watatufanyia nini tukiwapa dhamana kubwa ya uongozi sio kusimama jukwaani kusema fulani kafanya vile , fulani kafanya hivi hiyo haisaidiii
Wewe unataka ufanyiwe nini??
 
Back
Top Bottom