Vyama vya Upinzani Tanzania vimejaa Wanasiasa wasiokuwa na Maono, Ubunifu wala uwezo wa Uongozi

Vyama vya Upinzani Tanzania vimejaa Wanasiasa wasiokuwa na Maono, Ubunifu wala uwezo wa Uongozi

Na kwa kuwa Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na elimu bora wala maarifa ya kuchanganua mambo kwa upana wake basi wanawafuata tu kama misukule
Ukweli mchungu. Hakuna mtu mwenye akili timamu angemchagua lowasa awe rais, lakini mamilioni ya wapumbavu wakampigia kura.
 
Umeongea kwa kupanick mpaka imeonekana ni post ya shoga fulani. Kama ww ndio mpango mikakati ya CCM na ndio unaongea huu utoto, basi ujue hakuna chama hapo ndio maana mnategemea vyombo vya dola miaka yote.

Unasema CDM wameshindwa kujenga hata choo, hiyo ni kweli, lakini CCM pia hawana cha kujivunia maana 90% ya majengo yao ni ya kurithi toka mfumo wa chama kimoja. Na kuna mazingira mengi hayalipi kodi stahiki. Unasema ANC wanavitega uchumi hadi nje ya nchi yao, je CCM wanavitega uchumi wapi nje ya Tanzania?

Wanaokwenda kwenye mikutano ya CDM ni wasiojitambua na majobless, je wale wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM wakati wa kazi wao wanashughuli gani? Acheni wivu wa kijinga nyie majizi ya kura. Ifahamike hata hao majobless wanaweza kupiga kura.
Asipoelewa hapa basi yeye ndio mwenye tatizo, maana nilijua anawalaumu Watanzania kwa kuikumbatia chama dola zaidi ya 60 ya uhuru ilhal hamna kitu kimoja kikubwa kimetatuliwa completely 100% badala yake analaumu upinzani kwa vitu pretty, NOTE: Ukisifiwa na adui ujue kuna sehemu ushakosea & vice-versa is true
 
Back
Top Bottom