Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

Tume huru ipo? Et mtu aliyekuwa mwenyekiti wa time leo hii anakuja kugombea urais!!!ka nchi ka hovyo kabisa hako.
 
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza

Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
Huyo aliyeko Ubeligiji, mwenyekiti wa chama chake alishakuwa hiyo nafasi ya ugombea uraisi.
 
Mleta hoja umefikiria kuhusu ndege za kukodi, au ndio uwezo wako umeishia hapo?
 
Yapo mashirika yanatoa watu Ulaya hadi Doha Qatar,harafu Qatar hadi Dar
klm inafika dar direct toka amsterdam
Screenshot_20200620-213658_Chrome.jpg
 
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza

Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
Sio lazima Lissu afanye kampeni akiwa hapa anaweza kufanya akiwa alipo na kuja kuapishwa hapa.
 
Back
Top Bottom