Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

Tume huru ipo? Et mtu aliyekuwa mwenyekiti wa time leo hii anakuja kugombea urais!!!ka nchi ka hovyo kabisa hako.
 
Tume huru ipo? Et mtu aliyekuwa mwenyekiti wa time leo hii anakuja kugombea urais!!!ka nchi ka hovyo kabisa hako.
si alishastaafu. akistaafu ruksa kugombea
 
Huyo aliyeko Ubeligiji, mwenyekiti wa chama chake alishakuwa hiyo nafasi ya ugombea uraisi.
 
Mleta hoja umefikiria kuhusu ndege za kukodi, au ndio uwezo wako umeishia hapo?
 
Sio lazima Lissu afanye kampeni akiwa hapa anaweza kufanya akiwa alipo na kuja kuapishwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…