Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

Mbona Katiba kama hizo kwenye baadhi ya nchi za kiafrika? Kule South Africa hata Rais anafungwa jela, lakini wote tunalia wote tu kwa umaskini
Chagua moja
1.Umaskini+Katiba mbovu inayominya uhuru.
2.Umaskini+Katiba nzuri kama ya South Africa au Kenya yenye uhuru mpana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…