Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja .
Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!.
Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku , zitakupa Wabunge Kadhaa na madiwani Kadhaaa..KATAENI KATA KATA.
Msitanguliza matumbo.
Nina hakika mabadiliko katika Uchaguzi, Si tu faida Kwa CHADEMA , Bali Kwa Vyama vyote vya Upinzani TZ.