Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

We wasema
Pole asee me nimefika mingoyo saa sita najua kila kitu....mpaka changamoto ya mizani inavyozungumziwa mimi nipo kama wewe ulikuwelo mnazi na pengine ni wa system aidha mwandishi nakupa ukweli wale vijana ni wa ccm...me mwenyewe ccm ila kwa hili lazima niwe mkweli
 
Asante kwa taarifa
 
Asante kwa taarifa
Mkuu yaani ingekuwa tuna uwezo wa kurekodi kila kitu basi ningeeweka hio video hapa ....nashuhudia kwa jina la mwenyeziMungu japo mimi ni mtumishi wa umma lazima niunge mkono ccm tutekeleze ilani ila kwa hili hapana leo ndo nineamini huwa wanawekwa.nilikuwa nimekaa pale sakina pub kwa wakazi wa mnazi wanapajua...wakaja wacheza mzikinwa ccm wamevaa jezi zimeandikwa samia karibu kusini...kisha hao vijana wa mchongo wakapita barabarani wakiwa wamevaa jezi za act na chadema na bendera na bango..mdada fulani wa ccm akaniambia wale wote ni ccm..kwenye kubutubia mbunge akasema eti mpk wapinzani wanaunga mkono serikali blah blah
 
Kila kitu mnailazimisha CHADEMA iwepo ili mpate uhalali.
 
Mtu mwenyewe Mmoja ila kelele nyingi. CHADEMA itawasumbua Sana.
 
CHADEMA gani?. Umesahau wale vijana walikuwa wanajidai bavicha wanavaa t-shirt za Bavicha na kuitisha press conference. Mwisho wakaishia hewani. Hao wamevalishwa t-shirt Wala sio CHADEMA.
 
Hao Ni CCM wamevaa nguo za chadema danganya toto
 
Kamanda heche alienda na michongo yake imesheheni matusi kwa Nape; Rais kaenda na staha wafuasi wake heche wakamkaribisha. Sijui kama ni wa digital au organise?
 
Ndio akili yako ilipoishia lakini jua kwamba Rais Samia Suluhu anaendelea kuweka record ya kupendwa zaidi na wananchi wake kila ziara yake anapokelewa na mamilioni ya watanzania
Unayajua mamilioni ya watanzania wewe?? Hopeless insane kabisa
 
Ndio akili yako ilipoishia lakini jua kwamba Rais Samia Suluhu anaendelea kuweka record ya kupendwa zaidi na wananchi wake kila ziara yake anapokelewa na mamilioni ya watanzania
umejaza comments zako nying za kijinga kila mtu unamjibu ili ionekana uzi umechangiwa na wengi kumbe poyoyo moja kutoka lumumba linalopewa vihela vya bando kutoka walamba asali kupitia tozo
 
Kamanda heche alienda na michongo yake imesheheni matusi kwa Nape; Rais kaenda na staha wafuasi wake heche wakamkaribisha. Sijui kama ni wa digital au organise?
mjumbe wa kamati kuu heche alienda siku mbili mbwiga wa ccm wote wameenda kujipima uzito wa heche na mama yao
 
Kwa mambo yanavyoenda inaonekana Rais Samia Suluhu anaenda kuvunja record kwa kuwa Rais wa kwanza kupendwa Tanzania
Hilo halina Mjadala, lakini hao Ndugu zangu wa Lindi wameshindwa hata kupiga Bati na ndio Ngome ya CCM, sasa ndio nimeamini kuwa CCM huwa inastawi kwenye Mafukara.
 
Rais wa CCM . Anakataza wengine wasifanye siasa yeye anafanya.
Samia nampenda na aliahidi November hii atafungulia Siasa za majukwaani za staha lakini naona kigugumizi sijui kimetoka wapi December hiyo inakuja hebu tungoje.

Subira huvuta kheri.
 
CCM Inafurahia ufukara wa wananchi wake.
 
Mmeona kiki hazibambi Imebidi mvalishe wanaccm wenzenu bendera za vyama baya upinzani, au ni zile ziara za majuzi imebidi mjibu mashambulizi kwa njia za kishamba hivyo?
 
Samia nampenda na aliahidi November hii atafungulia Siasa za majukwaani za staha lakini naona kigugumizi sijui kimetoka wapi December hiyo inakuja hebu tungoje.

Subira huvuta kheri.

Ok ngoja tumpe muda
 
Kamanda heche alienda na michongo yake imesheheni matusi kwa Nape; Rais kaenda na staha wafuasi wake heche wakamkaribisha. Sijui kama ni wa digital au organise?

Rais anapambana na heche?. Mnavalisha watu t-shirt mnadai ni CHADEMA. Mimi ningemuona hata kiongozi wa kata wa CHADEMA ningeamini, lakini picha ya vijana watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…