Yule angeweza kutoa laana na ikashika kweli? Nadhani yeye ndiye alikutana na laana za watanzania na zilifanya kazi inavyopaswa.Vyama vya upinzani wana laana ya Magufuli
Shetani hawezi kutoa laana Kwa vile amelaaniwa ndiyo maana yuko motoni anatesekaVyama vya upinzani wana laana ya Magufuli
Zile dua zilizofanyika tarehe 27/10/2020 ndiyo zilimaliza mchezo, huwezi kutumia mabilioni yote Yale ya kodi za Watanzania kufanya uchaguzi halafu ukaagiza mbwa wako wauchafue Kwa kuiba kura na ubaki salama, haiwezekani kabisa.Yule angeweza kutoa laana na ikashika kweli? Nadhani yeye ndiye alikutana na laana za watanzania na zilifanya kazi inavyopaswa.