kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tangu chaguzi za vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya Uchaguzi kwamba sio huru hivyo haiwatendei haki.
Je, 2025 kutakuwa na tume ya uchaguzi iliyo tofauti na zilizotangulia? Kama hakuna mtaipataje na lini?
Mbona tunaisikia sauti ya Mbowe TU na CHADEMA, wengine mbinu zenu za kupata tume huru ni zipi?
Je, 2025 kutakuwa na tume ya uchaguzi iliyo tofauti na zilizotangulia? Kama hakuna mtaipataje na lini?
Mbona tunaisikia sauti ya Mbowe TU na CHADEMA, wengine mbinu zenu za kupata tume huru ni zipi?