Upinzani wetu feki, wanataka kujaza tu vitambi vyao, akina HecheUchaguzi (uchafuzi) wa 2025 chini ya bibi ushungi utakuwa sawa na ule wa 2020 chini ya jiwe
Natofautiana na wewe. Binafsi naona wananchi ndiyo wamedoda kama kiporo Cha viazi. Na wapinzani ni sehemu ya wananchi. Hivyo lawama zuende kwa wananchi.Upinzani wetu feki, wanataka kujaza tu vitambi vyao, akina Heche
Msimamo wa CHADEMA NI uleule, hawashiriki chaguzi danganya totoTangu chaguzi wa vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya UCHAGUzi kwamba sio huru hivyo haiwatendei haki...
Nadhani unamaanisha CHAUMAWapinzani wamekuwa wakiweka wagombea vilaza, afu wakishindwa lawama zinaenda kwa tume.
Upinzani wetu feki, wanataka kujaza tu vitambi vyao, akina Heche
Kwa kudai katiba mpya
Sikuwai ambiwa chochoteWewe uliambiwa TANZANIA huwa kuna uchagu au huwa kuna uporaji na ubabe tu
Askofu Gwajima hahubiri bali anapiga kampeni dhidi ya mama kwa 2025. Yaani ni heri mbinu ya Gwajima kuliko vyama vya upinzani vinasubiria chorus ya tume mbaya baada ya uchaguzi, sasa hivi wametulia wanakula nyani wala ndizi na jibiniNafassi ni kubwa sana wakijipanga mama kavunja tumaini la watz keshachemka mapema
CCM looks for leaders with intelligence, who are supportive, grounded and encompasses a shared set of values, Chadema cares only for personalities and not leaders. Always electing personalities who are hot, wild and exciting.Ccm labda waibe tena awatoboi
Fatigue is for everyone, no everlasting entityCCM looks for leaders with intelligence, who are supportive, grounded and encompasses a shared set of values, Chadema cares only for personalities and not leaders. Always electing personalities who are hot, wild and exciting.
Chadema look for instant gratification, but CCM is in it for the long haul.