Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu.

Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze.

Hali hii inanishangaza sana.
 
hamna wapinzani ukiachq cdm waliobaki vyama tanzu vya ccm
 
Back
Top Bottom