Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Mar 21, 2024 #1 Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 21, 2024 #2 Fafanua
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Mar 21, 2024 Thread starter #3 johnthebaptist said: Fafanua Click to expand... Mfano CDM na ACT
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 27, 2024 #4 hamna wapinzani ukiachq cdm waliobaki vyama tanzu vya ccm