Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Na Hawa wanawake wanaolewa hovyo bar na kuliwa kiboga Kiulaini ati wanajifanya upelelezi Hawa wapo kwenye rank gani?
 
Namba 4 itakuwa:Afisa Mwandamizi wa Usalama(Senior Security Officer).Namba 5:Afisa Mkuu wa Usalama ( Principal Security Officer) )ndiyo vifuate hivyo vingine.
Bora hata umecomment mkuu niliposoma tu nkaona haijakaa sawa
 
Sikuizi manaibu wanakuwa wawili wakutoka Zanzibar na kutoka Tanzania bara
 
wa mwanzo walifundishwa na wa israeli kipindi cha nyerere.



toka 7/10 mwaka 2023 nimeona kuna umavi mwingi kuhusu hizi idara na mahela ya bure/.
toka trump ale ya sikio ni hovyo kabisa hawa watu
 
Hawa wehu na vichaa wana-fall kwenye kitengo gani hapo?
 
Vyeo vya wauaji
 
Kibongobongo TISS ni kikundi cha wambea
Hahaha kila mtu ni m'mbeya kwenye hii dunia ya leo. Informations/taarifa ni muhimu kwa sababu bila taarifa sahihi, ni vigumu kufanya maamuzi sahihi na kufanikisha jambo kwa ufanisi. Kila mtu ili afanikishe jambo lake lazima atafute taarifa za kutosha kuhusu jambo hilo.
 
Afu kuna hao mbogamboga wao umewasahau katika huo muundo
 
ujasusi wa kigeni
Hapa kama mlikuwa mnasubiri hadi waje fizikali mmepigwa sana kama wakenya waliweza kuwafokoa Maafisa wenu hadi kuzitumia Wasapu zao kuunda magroup na kuomba hela kwa Samia.

Poleni sana.
Endeleeni kuwaomba hao hao wageni kushikilia Taarifa zenu kwa kushirikiana.
Hivyo kama nchi mko uchi muda wote.
 
Hivi inatakiwa mtu asomee nini ili kuwa katika hio kada????
 
naomba unisaidie na Directorates (Kurugenzi) zilizopo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…