Sungusungu waliofanyiwa upgradeYeye ndiye mwenye dhamana ya mwisho ya usimamizi wa usalama wa taifa kwa ujumla na huripoti moja kwa moja kwa Rais.
Who spies on Who? Spies wanazaliwa na hio kitu km walivyo Madaktari hawakai tu wakapigwa lecture inabidi uwe na hio code umezaliwa nayo, these people it's hard to get them, they never pick up their phone for you but you will pick up your phone for them.Spies comes in many shapes. 😎
Mimi nina thamini kazi zao maana niliwahi ishi mi nchi ya wenzetu huko sikuwahi lala usiku kwa miaka 9.hadi nilipo rud home sweet home Tzwanakula mshahara wa bure tu nothing happen as the out put of the hard working.
Nahis ni Mr misifa tuuuuWale 'unanijua mimi ni nani? huwa level gani?
Aisee! Watu bhanaTuwekee na ngaz za mshahara za mashushu za security officers
na familia za waliouliwa ndugu zao kina ben,ali kibao ni wakenya sio ifike mahali tuache unafki.Mimi nina thamini kazi zao maana niliwahi ishi mi nchi ya wenzetu huko sikuwahi lala usiku kwa miaka 9.hadi nilipo rud home sweet home Tz
HahahahahaMtaji Wa Kuwa Usalama Wa Taifa
.1) Kaunda Suti 3
2) Kabegi Kakushika Mkononi
3) Simu 2
4) Namba 5 Za Simu Zilizoseviwa Majina Ya Viongozi
5) Picha 3 Ulizopiga Na Viongozi
6) Ruti Za Hapa Na Pale Kwenye Viconference Na Mikutano Ya CCM
IMEISHA HIYOOOO
Mkuu mimi naona kwa tz vyombo vya ulinzi na usalam vinanidhamu ktk taaluma zao.Kama kweli hao watu wapo serious na uzalendo:
1.Kwa nini hawazuii ufisadi na wizi wa mali za uma ambao kila mwaka CAG anatangaza?
2.Kwa nini wameshindwa kuforecast mabadiliko ya kidunia - kisiasa, kimifumo, na watu - generation zetu na kujua kuwa kuendelea na mifumo ya sisi ni kuelekea kusababisha ugomvi hali mbaya ya usalama kulingana na kizazi kinachokuja nyuma yetu??
3.Kwa nini wananchi wanatekwa na kuuwawa bila majibu yoyote?Je kuna usalama wa muhimu ZAIDI YA KULINDA DAMU/UHAI wa mtanzania hata MMOJA??
4.Kwa nini wanaruhusu CCM kuiba madaraka ya UMMA na kuwa sehemu ya Serikali??
5.Kwa nini hawaoni joto la katiba mpya na kumshauri Rais au wao kulazimisha taifa lao liwe na katiba bora na ya kisasa??
6.Hivi wao wameshindwa kwenda nje kuangalia namna nchi nyingine zilizo bora zaidi yetu zilivyotunga katiba zao???
7.Kwa nini wamaruhusu kuwa na taifa la watu wenye pesa bila physical contribution to the society:Uchumi wa 10%, kila mtu ni dalali, wazalishaji wachache, wengine wanatajirika kwa 10% kuanzia kwenye mikataba etc.
8.Kwa nini hawasaidii kulifumua jeshi la polisi ambalo liko kikoloni zaidi??
9.Kwa nini wanaruhusu na kusaidia kuwa na chama kimoja cha siasa (CCM) na kusaidia kudidimiza vingine??Je huu ndo msingi wa utawala bora???
10.Kwa nini hawasaidii bunge letu kuwa taasisi independent, na yenye mvuto kama kipindi cha nyuma, mpaka sasa hivi hata watu hawafuatilii tena, ??
11.Wako loyal kwa mfumo na watawala au KWA TAIFA na wananchi??
Napenda kuuliza pia kamaTISS wanashughulikia kiuchumi vipi kuhusu misitu yetu ipo salama?TISS imegawanyika kuliko kawaida mwaka huu
Mpaka Samia hataki watu waende likizo kisa watafanya organization nje ya mfumo kumuondoa madarakani
Samia anabishana Sana na wakati!!
Vitaje wewe kwa msaada.Hivyo vyote vyeo umetaja ni vya wakaa maofisini desk officers
Mitaani kwenye field viko vingi kwenye hiyo list havimo kabisa hata kimoja
Sio wanatamani wawe juu ya Katiba ila tayari wako juu ya Katiba. Ndio maana wakasema Katiba ni kijitabu tu.Mkuu mimi naona kwa tz vyombo vya ulinzi na usalam vinanidhamu ktk taaluma zao.
Laki tatizo kubwa ni wanasiasa, kwa mfano ukiona kiongiz au viongoz wana ujasiri wa kuidharau katiba kwa yale mambo yanayo wabana wao,ujue hivyohivyo hawawezi kuheshimu ushauri kutoka kwa wanausalama. Ukizngatia wanajion kuwa wao ndo mabosi wao.
Hasa tangu 2016 viongoz wamekuwa na hulka ya kufuata utashi wao na kudharau miiko ya kikatiba.
Yaani wanataman san wawe juu ya katiba.
Wakuuu jf. Hivii hzo nafasi za tiss hua zinapatkana vp na Sisi tuombe aisee au unatakiwa kua na vige
UshahidiNa Hawa UN department of political and peace building affairs (DPPA) nasikia kazi yao ku Analyse,kushauri political issues,kuzuia conflict na kutunza amani,huwa wanatoa ushauri kwa usalama wa taifa kwa mambo yanayotokea ila serikali haina habari
Naomba kujua vyeo vya wale wanaopewaga majukumu ya kuwa Bodaboda, Mama ntilie na vichaa huwa wanakuwa kwenye kundi gani? Na vyeo vyao huwaga ni vipi?
Nashauri tuache taifa lidumishe amani
Huyo nyani ngabu, bichwa komwe na divisheni foo ni watetezi wakubwa sana wa mapenzi ya jinsia moja… kisha naona hapa wanahusishwa na haya mambo, napata maswali mengi sana!… duh! 😢🤔😳 🙌🏾Bichwa komwe huyu huyu awe Teeth? 🤣🤣🤣🤣 basi ndo maaana