Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Nilijua wana vyeo km vile, inspector of...cornel /captain ,major ktk hivyo vitengo vyao
Inspector vizibo vitatu vya Polisi, na ikiwa vizibo viwili ni non presential commission hadi Cha tatu, na jeshini Nyota tatu sio ndio captain kuanzia jiwe la kwanza ni Presidential commission. Kimahesabu jiwe moja Polisi ni sawa na vizibo vitatu vya Polisi ? Vyeo vya jamaa muundo wao kama wa jeshini ila watu waoga kuvi expose
 
Jamaa makatili sana
 
Wana uwezo wa kupiga push up ngapi? 🙂
 
Kama kweli hao watu wapo serious na uzalendo:
1.Kwa nini hawazuii ufisadi na wizi wa mali za uma ambao kila mwaka CAG anatangaza?
2.Kwa nini wameshindwa kuforecast mabadiliko ya kidunia - kisiasa, kimifumo, na watu - generation zetu na kujua kuwa kuendelea na mifumo ya sisi ni kuelekea kusababisha ugomvi hali mbaya ya usalama kulingana na kizazi kinachokuja nyuma yetu??
3.Kwa nini wananchi wanatekwa na kuuwawa bila majibu yoyote?Je kuna usalama wa muhimu ZAIDI YA KULINDA DAMU/UHAI wa mtanzania hata MMOJA??

4.Kwa nini wanaruhusu CCM kuiba madaraka ya UMMA na kuwa sehemu ya Serikali??

5.Kwa nini hawaoni joto la katiba mpya na kumshauri Rais au wao kulazimisha taifa lao liwe na katiba bora na ya kisasa??
6.Hivi wao wameshindwa kwenda nje kuangalia namna nchi nyingine zilizo bora zaidi yetu zilivyotunga katiba zao???

7.Kwa nini wamaruhusu kuwa na taifa la watu wenye pesa bila physical contribution to the society:Uchumi wa 10%, kila mtu ni dalali, wazalishaji wachache, wengine wanatajirika kwa 10% kuanzia kwenye mikataba etc.

8.Kwa nini hawasaidii kulifumua jeshi la polisi ambalo liko kikoloni zaidi??

9.Kwa nini wanaruhusu na kusaidia kuwa na chama kimoja cha siasa (CCM) na kusaidia kudidimiza vingine??Je huu ndo msingi wa utawala bora???

10.Kwa nini hawasaidii bunge letu kuwa taasisi independent, na yenye mvuto kama kipindi cha nyuma, mpaka sasa hivi hata watu hawafuatilii tena, ??

11.Wako loyal kwa mfumo na watawala au KWA TAIFA na wananchi??
 
Sawa
 
Hahahahaha,hapo ndio pazuri sasa
 
Hii ilikuwa mwaka Gani na ilitokea wapi?
 
Vp maslahi yao?
 
Mbona sijaona DSO and RSO??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…