Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

Spies comes in many shapes. 😎
Who spies on Who? Spies wanazaliwa na hio kitu km walivyo Madaktari hawakai tu wakapigwa lecture inabidi uwe na hio code umezaliwa nayo, these people it's hard to get them, they never pick up their phone for you but you will pick up your phone for them.
 
wanakula mshahara wa bure tu nothing happen as the out put of the hard working.
Mimi nina thamini kazi zao maana niliwahi ishi mi nchi ya wenzetu huko sikuwahi lala usiku kwa miaka 9.hadi nilipo rud home sweet home Tz
 
Mimi nina thamini kazi zao maana niliwahi ishi mi nchi ya wenzetu huko sikuwahi lala usiku kwa miaka 9.hadi nilipo rud home sweet home Tz
na familia za waliouliwa ndugu zao kina ben,ali kibao ni wakenya sio ifike mahali tuache unafki.
 
Mtaji Wa Kuwa Usalama Wa Taifa
.1) Kaunda Suti 3
2) Kabegi Kakushika Mkononi
3) Simu 2
4) Namba 5 Za Simu Zilizoseviwa Majina Ya Viongozi
5) Picha 3 Ulizopiga Na Viongozi
6) Ruti Za Hapa Na Pale Kwenye Viconference Na Mikutano Ya CCM
IMEISHA HIYOOOO
 
Mtaji Wa Kuwa Usalama Wa Taifa
.1) Kaunda Suti 3
2) Kabegi Kakushika Mkononi
3) Simu 2
4) Namba 5 Za Simu Zilizoseviwa Majina Ya Viongozi
5) Picha 3 Ulizopiga Na Viongozi
6) Ruti Za Hapa Na Pale Kwenye Viconference Na Mikutano Ya CCM
IMEISHA HIYOOOO
Hahahahaha
 
Mkuu mimi naona kwa tz vyombo vya ulinzi na usalam vinanidhamu ktk taaluma zao.

Laki tatizo kubwa ni wanasiasa, kwa mfano ukiona kiongiz au viongoz wana ujasiri wa kuidharau katiba kwa yale mambo yanayo wabana wao,ujue hivyohivyo hawawezi kuheshimu ushauri kutoka kwa wanausalama. Ukizngatia wanajion kuwa wao ndo mabosi wao.

Hasa tangu 2016 viongoz wamekuwa na hulka ya kufuata utashi wao na kudharau miiko ya kikatiba.
Yaani wanataman san wawe juu ya katiba.
 
TISS imegawanyika kuliko kawaida mwaka huu

Mpaka Samia hataki watu waende likizo kisa watafanya organization nje ya mfumo kumuondoa madarakani

Samia anabishana Sana na wakati!!
Napenda kuuliza pia kamaTISS wanashughulikia kiuchumi vipi kuhusu misitu yetu ipo salama?
 
Sio wanatamani wawe juu ya Katiba ila tayari wako juu ya Katiba. Ndio maana wakasema Katiba ni kijitabu tu.
 
Na Hawa UN department of political and peace building affairs (DPPA) nasikia kazi yao ku Analyse,kushauri political issues,kuzuia conflict na kutunza amani,huwa wanatoa ushauri kwa usalama wa taifa kwa mambo yanayotokea ila serikali haina habari
Ushahidi
 
Bichwa komwe huyu huyu awe Teeth? 🀣🀣🀣🀣 basi ndo maaana
Huyo nyani ngabu, bichwa komwe na divisheni foo ni watetezi wakubwa sana wa mapenzi ya jinsia moja… kisha naona hapa wanahusishwa na haya mambo, napata maswali mengi sana!… duh! πŸ˜’πŸ€”πŸ˜³ πŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…