Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa matokea na washindi. Vyombo hivyo vinawataka waamerika wawe watui wa subira. Hii ni tofauti na vyombo vyetu hapa na namna tunavyoielekeza jamii- hakuna subira.
 
Back
Top Bottom