Kama kuna watu wenye elimu ndogo sana na ufahamu mdogo ni waandishi wa habari wa Tanzania. Nasikia uwa wanachukuliwa wale waliofail form iv ndo wanaenda kusomea uandishi wa habariNaona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Ifike mahali hao wanaotaka Heche ahojiwe mara zote wanakuwa wapi CAG anapotoa ripoti zake?Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Hata waandishi bnafsi kama yule zungu wa wasafiNaona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Cosmas Makongo alifeli Form two! Lakini leo ndo mbeba makamera na mwanaharakatiKama kuna watu wenye elimu ndogo sana na ufahamu mdogo ni waandishi wa habari wa Tanzania. Nasikia uwa wanachukuliwa wale waliofail form iv ndo wanaenda kusomea uandishi wa habari
hasafishiki huyo fisadi gentlemanNaona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Hivi vyombo vyao hawavihoji ila BBC mpaka mishipa ya ndumku ilisimama...Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
Haya mambo si mageni, na yanafadhiliwa na serekali wa wauaji. Mkuu umesahau hata wale wanaoendaga kuchukua fomu za kugombea, kisha akifika mgombea halisi anaambiwa tayari fomu imeshachukuliwa?Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka Heche achunguzwe. Wakati aliyeongea ni Mmoja.
Kwa maana nyingine mtu yoyoyte anaweza kuamka asubuhi na kuita Press na kujipa cheo ndani ya CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche bila ushahidi.
Pia, tukumbuke Katibu Mkuu alishafunga hili Suala ya kwamba kama Kuna mtu ana tuhuma azipeleke zitafanyiwa kazi. Ila watu wamekomaa na press conference tena wakiwa eneo Moja.
Vyombo vya habari vinatakiwa vichunguze source ya habari na validity ya habari. Yani hakuna hata mwandishi aliyeweza kuhoji ukweli wa cheo cha huyo mtu?. Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani anajulikana hata kwa majina. Anaitwa Richard Mbalase. Inakuwaje anaibuka mtu na kujipa cheo asichokuwa nacho na wala hakuna chombo cha habari cha kuhoji usahihi wa cheo na kinacho semwa.
Vyombo vya habari vijitathmini sana vinaua uhalali wake kisa bahasha za khaki.
LEO NI MIAKA 60+ YA UHURU LIPOTI ZOTE ZA CAG ZINAONYESHA HUYU JONH WEGESA HECHE ANAKULA PESA ZA MILADI DA WEWE HECHE ACHA KULA HELA ZETU MILADI INAKWAMA TUTAKUFUNGA HECHEhasafishiki huyo fisadi gentleman
kwamba wasusia uchaguzi na wafuata mkumbo ni wajinga sana na kwahivyo waogopwe?