Vyombo vya dola endeleeni kuwa macho. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamedhamiria kuiingiza Nchi katika machafuko ya kisiasa

Mara ngapi ushindi unanyang'anywa na hakuna machafuko, marangapi watu wananyimwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa na hakuna machafuko, hoja hii ni ya mtu asiyependa watu wote wapate haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
 
Nguvu ya umma ikiamua hakuna cha kushindana na Dolaccm lazima itashindwa kule Sudan misiri Tunisia Polisi walipiga waliua wee mwishowe wananchi wakaibuka kuwa washindi, usiombe wananchi wajitolee kukataa udikiteta wenu lazima watashinda tu
 
Nchi Ipo Salama, Wala Hakuna Lolote Nje Ya Utaratibu Linawezekana Eti Kufanywa Na Wasio Na Mapenzi Mema
 
Nchi Ipo Salama, Wala Hakuna Lolote Nje Ya Utaratibu Linawezekana Eti Kufanywa Na Wasio Na Mapenzi Mema
Wakurugenziccm kwenda kuwatangaza watu ambao siyo washindi siyo chaguo la wapiga kura ndiyo watahatarisha Amani ya Nchi
 
UNAWEZAJE WEWE KUJUA JAMBO HILO?

KIASI KWAMBA WANAUSALAMA WASIJUE?? HALAFU ETI WEWE UJUE??

NENDA KAWADANGANYE WAJINGA....👊👊👊👊😁😁😁😂😂
 
Tumechoka kuporwa ushindi na tume hii ya ccm. Tunahitaji tume huru ya uchaguzi kwa amani, maadamu ccm haiko tayari tume huru ya uchaguzi ipatikane. Basi acha tutumie njia nyingine ambayo mtajua dhuluma hailipi.
Kwa Tz hii, hajawahi kuzaliwa mtu wa kuyatoa maisha yake kufanya Jambo kama hilo
 
Nawaona waliozoea Vya kunyonga wakianza kulialia kinafiki,kwani nani asiyejua michezo yenu?
 
kama wanafika bei kwa nini wasinunuliwe?
na wewe fungu lako lipo,mda si mrefu utaelekea kibla.
Pesa za viwanda pesa za kujenga Reli mmenda kukopa standard bank, huku mnachezea pesa za walipa kodi kuwanunua wabunge kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Pesa za viwanda pesa za kujenga Reli mmenda kukopa standard bank, huku mnachezea pesa za walipa kodi kuwanunua wabunge kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa
nyinyi hamna wabunge wenye malengo ya kushika hatamu,bali mnapataga wabunge na viongozi wa chama wenye njaa.Chadema ni ngazi ya kupatia umaarufu.ukishakua maarufu unasepa.
CCM ndo chama kinachomoliki vyanzo vya mapato vya uhakika Tanzania.kinasajili mchezaji yeyote atakae hitajika.
 
Acha woga we ndege wa kijani. Machafuko yanaletwa na ccm na vyombo vyake hivyo hivyo unavyotaja
 
Usajili wa kumtishia mtu kuwa akikataa atapigwa risasi kama Tundu lisu ndiyo umewapelekea wengu kuogopa wakanunuliwa kwenda huko wazee wa ndiyoo, kusajili wachezaji huku ukiwabambikia kesi timu yao ya zamani huo ni ushamba mkubwa sana
 
IlaWasukuma, mna taabu sana. Hofu yote hiyo ni ya nini_? Hii nchi ilikuwa na amani kabla yenu, itaendelea kuwa na amani hata baada yenu! Kubwa fanyeni kz inavyopaswa .
 
We ulisikia wapi
 
Jina lako ni tusi na mawazo yako pia
 
Mwanasiasa wa kwanza anayetoa maneno yenye viashiria vya uvunjifu wa amani ni Mwenyekiti wa CCM, adhibitiwe ama ashughulikiwe kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…