Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

Huo ni WA viwango vya wanakijani pekee🤸.
 
Hivi sisiemu huwa inaokoteza wapi wajinga hawa?!!!
 
Zelothe Stephen,Kanali Mwakibinga,Kanali Kinana na wengineo wapo Chama gani kwani?
Kwani wanafanya kazibya ulinzi huko waliko?
Au umesahau unachotaka kujibu hapa?
 
Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi
Jina lako kikwetu ni clotis ya mwanamke.
Au una matumizi yanayofanana na jina lako,?
 
Poleni,
Inavyoonekana, karibu mtapeleka marekebisho ya sheria ili nyie WAKIJANI ndio muwe mnaanda wajeshi wastaafu kwa ajili ya VIP protection kwa wote.
Na hatujajua mmekuwa mnawatumia kwa maovu hawa Makomandoo.

Maana tumechelewa sana kujua hili...
 
Jina lako kikwetu ni clotis ya mwanamke.
Au una matumizi yanayofanana na jina lako,?
Kwetu ni samaki, clotis ndio nini? Au ndio mambo ya shule za kata
 
Unamchunguzaje mtu umemfukuza kazi, ameamua mwenyewe kujitafutia ujira tena ulinzi wa wazi ndani ya nchi yake au mnataka waelekee msumbiji au Kongo kujiunga na makundi ya kigaidi
 
Mliyoyatarajia yamekuja kinyume mmevurugika!! Sasa mnaongea kama mmekatwa vichwa!
 
Unamchunguzaje mtu umemfukuza kazi, ameamua mwenyewe kujitafutia ujira tena ulinzi wa wazi ndani ya nchi yake au mnataka waelekee msumbiji au Kongo kujiunga na makundi ya kigaidi
Huyo ni Jeshi la akiba ....reserve army, tunakula naye sahani moja mpaka ajute kuzaliwa
 
Mliyoyatarajia yamekuja kinyume mmevurugika!! Sasa mnaongea kama mmekatwa vichwa!
Atafungwa jela, mama kwa kuwa ana huruma, atamuachia kwa msamaha wa Rais, kwa kutumia katiba hiyo hiyo mnayoipiga vita, Mbowe atapata msamaha wa mama, the game will be over, akikata rufaa, anashonwa tena, halafu mama anamuachia kwa msamaha wa Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…