Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Hizo propaganda zenu zitashindwa...Watanzania wapenda Maendeleo watamchagua Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM anatosha CCM kwa maendeleo ya Tanzania
 
Utaona ya Tanzania Bara kuanzia kesho. Hatutaki ujinga mwaka huu
 
hao waandishi sio watanzania,waandishi wa kitanzania wamekosa uzalendo na nchi yao,kipindi hiki cha kampeni kimedhihirisha hivyo.Waliandika na kuripoti upande mmoja kana kwamba nchi ni ya chama kimoja
 
Bara kuna wajinga na wachumia tumbo wengi sana. Ujinga na uchumia tumbo unasababisha uoga
Hizi shamra-shamra kiasi tunazoona bara wakati huu ni kwa sababu ya ujio wa mbeba maono, mzalendo na jasiri LISU.
Hicho kinachoendelea zanzibar kingewezekana kama kila mkoa Bara kungepatikana LISU wawili hivi
 
Dogo kachukue mawe uwapopoe FFU wasituchukulie poa mzee
 
Vyombo vya habari vya bongo havina maana yeyote havitusaidii kwakweli wameshindwa aljazeera iko live kila baada ya nususaa kuripoti yanayojoli visiwani
 
Nikisoma comments za washabiki wa CCM hata sielewi......natamani kujua kwamba wao vile vifaru na risasi kurindima huko Zanzibar, wao wanafurahi au wanaona ni sawa tu?
kwani wana akili hata wapuuzi hao
 
ukiona watu wanataka madaraka kwa damu hao si viongozi
 
Kwahiyo unataka kusemaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…