Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Dah! bora tungekuwa na chama kimoja tu kuliko kuwa na mzigo wa vyama afu wapiga kura tunapunguzwa!..
 
Ndio salama yetu
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa....

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
Anaye muandaa huyo mtawala ni nani?
 
Waache kuripoti Libya waripoti fujo za wahuni wawili tu wa madevu? Nyie msituchoshe. Kesho tunafuta upinzani Tz hautufai. Vianzishwe vyama mbadala ambavyo vitakuwa vya kizalendo.
 
Waache kuripoti libya waripoti fujo za wahuni wawili tu wa madevu? Nyie msituchoshe. Kesho tunafuta upinzani Tz hautufai. Vianzishwe vyama mbadala ambavyo vitakuwa vya kizalendo.
siku yaja
 
Ndio salama yetu
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa....

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
Naunga mkono hoja.

Nasikitishwa sana na fujo hizi zinazotrend.

Maisha hayaendi sawa pale darajani,huko kinuni darajabovu na kwingineko kwa sababu ya uchaguzi.
 
lakini kwann akatae kuongezewa mda wakati wananchi ndo tunaamua! hili swala mm bado sjalilelewa maandamano yafanyike aongezewe mda baada ya miaka 5 tena kuisha
 
Leo matusi yamekauka bwashee!
 
......ukiambiwa huu moto usiguse utaungua, inabaki ni juu yako kuamua uguse au usiguse; ukigusa usitarajie matokeo tofauti.....
 
Ndio salama yetu
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa....

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
hili ni muhim kulitambua "Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake"
 
Ni halali kwa Mtanzania kujibu kipigo kwa silaha za Moto kwa sababu huku sio kutupiga sasa
 
Aljazeera wamereport ila ITV wakakosa uzalendo wakakata fasta na kuweka tangazo
ITV wajinga sana wanasitisha matangazo ya Aljazeera ili wananchi wasijue mabaya wanayoyajua tayari yanatendwa na Serikali yao wakiacha dunia nzimà nao wajue mauaji ya Wazanzibari wasio na silaha yoyote. Agizo toka juu lingeenda mbali zaidi mpaka Aljazeera kuzuia wasitangaze tumalizwe kimyakimya kuficha dhuluma iliyozoeleka ya Watawala dhidi ya wananchi. Mauaji ya Zanzibar yalitegemewa na dalili zote kuwa wazi ndo maana majeshi yote yalitayarishwa kivita na tutaona mengi wiki hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…