Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile independent tv, lakini sasa napotezea tu. Natazama aljazeera muda huu. Wa aina yangu tuko wengi sana.
Soon tv zenu zitakosa hata matangazo. Redio zenu zitakosa hata matangazo ya vifo. Magazeti yenu mtasoma wenyewe. Hapa namaanisha vyombo vyote!
Kifuatacho itv mtakosa mapato. Mtashindwa kumudu gharama. Mtapunguza nguvukazi. Mamlaka ile kwa upande mwingine inaendelea kula ruzuku kwa kazi nzuri ya censorship.
Nawaapia msipozinduka mtazikwa mkijiona. Oct 29 na siku zilizofuatia ilikuwa ni hatua za awali za wafiwa kuweka udongo kwenye kaburi. Ikifika zamu ya wachimbaji kuweka udongo mtajua hamjui