Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Tusisahau na wahariri wa vyombo.vya habari walihusika pia kwenye propagandaTokea media zilivyo feli kusimamia weled October 29 sijawah zielewa kabisa na pia akaja semaji la serikali akasema wamefanya kaz nzuri nikaishiwa na pawa kabisa nikasema kama taifa tunasafari ndefu sana mwamba alivipongeza vyombo kabisa
Mimi niliacha rasmi baada ya Magufuli kuingia madarakani. Utawala ule ndio rasmi uliharibu. Uhuru wa vyombo vya habari hapa nchini. Kwa sasa ni muendelezo wa uchafu uliopandwa hapa nchini kipindi hicho.Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile independent tv, lakini sasa napotezea tu. Natazama aljazeera muda huu. Wa aina yangu tuko wengi sana.
Soon tv zenu zitakosa hata matangazo. Redio zenu zitakosa hata matangazo ya vifo. Magazeti yenu mtasoma wenyewe. Hapa namaanisha vyombo vyote!
Kifuatacho itv mtakosa mapato. Mtashindwa kumudu gharama. Mtapunguza nguvukazi. Mamlaka ile kwa upande mwingine inaendelea kula ruzuku kwa kazi nzuri ya censorship.
Nawaapia msipozinduka mtazikwa mkijiona. Oct 29 na siku zilizofuatia ilikuwa ni hatua za awali za wafiwa kuweka udongo kwenye kaburi. Ikifika zamu ya wachimbaji kuweka udongo mtajua hamjui
View attachment 3517798
Nawaapia msipozinduka mtazikwa mkijiona. Oct 29 na siku zilizofuatia ilikuwa ni hatua za awali za wafiwa kuweka udongo kwenye kaburi. Ikifika zamu ya wachimbaji kuweka udongo mtajua hamjui
Dah!Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile independent tv, lakini sasa napotezea tu. Natazama aljazeera muda huu. Wa aina yangu tuko wengi sana.
Soon tv zenu zitakosa hata matangazo. Redio zenu zitakosa hata matangazo ya vifo. Magazeti yenu mtasoma wenyewe. Hapa namaanisha vyombo vyote!
Kifuatacho itv mtakosa mapato. Mtashindwa kumudu gharama. Mtapunguza nguvukazi. Mamlaka ile kwa upande mwingine inaendelea kula ruzuku kwa kazi nzuri ya censorship.
Nawaapia msipozinduka mtazikwa mkijiona. Oct 29 na siku zilizofuatia ilikuwa ni hatua za awali za wafiwa kuweka udongo kwenye kaburi. Ikifika zamu ya wachimbaji kuweka udongo mtajua hamjui
View attachment 3517798
Sentence ya kufikirisha sana hiiiOct 29 na siku zilizofuatia ilikuwa ni hatua za awali za wafiwa kuweka udongo kwenye kaburi. Ikifika zamu ya wachimbaji kuweka udongo mtajua hamjui
Kabisa, amekuwa chawa hadi anatia kinyaa.Balile nďie amevizika vyombo vyote vya habari
🤣🤣 Hatari sananimeacha kusikiliza redio. kuna muda nalazimika kuiwasha ili kuipasha joto tu ili isiharibike.
Alikuwa mtu mmoja makini sana, ila sasa ni huzuni kwa kweliKabisa, amekuwa chawa hadi anatia kinyaa.
Si anatumia tu droneDah!
Teknolojia iliyotumika kufotoa hii picha inashangaza sana!
Ina maana mpigaji aliipiga akiwa kaburini ndani ya jeneza kabisa akisaliwa kwa ajili ya kuzikwa?