Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 25
- 47
Kwani magufuri ndo rais wa kwanza kufariki hapa tz ,kwa nn magufuri na si wengine?Maelekezo kutoka juu .asije kosa content
Magufuli ndiyo Rais wa Kwanza kufariki akiwa madarakani,wenzake walikua tayari ni wastaafu!!Kwani magufuri ndo rais wa kwanza kufariki hapa tz ,kwa nn magufuri na si wengine?
Kwenye katiba ya Tz kuna sehemu yeyote inayo sema kuwa kiongozi akifia madarakani basi atengewe siku maalumu ya kukumbukwa kitaifa?Magufuli ndiyo Rais wa Kwanza kufariki akiwa madarakani,wenzake walikua tayari ni wastaafu!!
Na vilevile kwenye Katiba hakuna sehemu iliyokataza Kiongozi aliefia madarakani asitengewe siku maalumu!!Kwenye katiba ya Tz kuna sehemu yeyote inayo sema kuwa kiongozi akifia madarakani basi atengewe siku maalumu ya kukumbukwa kitaifa?
Rais akifia madarakani ndiyo anaendelea kuongoza hata akiwa kaburini hadi atengewe siku maalum ya kitaifa ya kukumbukwa?Magufuli ndiyo Rais wa Kwanza kufariki akiwa madarakani,wenzake walikua tayari ni wastaafu!!
Kwani ni ajabu sana Rais kufia madarakani?Na vilevile kwenye Katiba hakuna sehemu iliyokataza Kiongozi aliefia madarakani asitengewe siku maalumu!!
Punguza chuki kwa Marehemu, maisha hayataki hasira!!Kwani ni ajabu sana Rais kufia madarakani?
Ama alikuwa na makubaliano na Mungu lazima astaafu ndiyo afe hivyo kitendo cha kufa akiwa madarakani ni kukiuka makubaliano hadi iwe kitu cha kushangaza?
Magufuli alikuwa rais bora ndani ya bara la Africa.Kwani magufuri ndo rais wa kwanza kufariki hapa tz ,kwa nn magufuri na si wengine?