Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

Sio mimi tu!
Mamilioni ya watu wenye akili barani Africa na Dunia kwa ujumla wana kumbuka.
Kuna watu hawafurahi kabisa kuona Magufuli anakumbukwa na wanafanya kila wanaloweza kuifuta legacy yake lakini ni kazi bure.
Wazalendo wa kitanzania na Africa kwa ujumla wataendeleankumkumbuka Magufuli daima.
Sasa ww na hao mabilion unao wasema simumkumbuke iweje mrazimishe kila mtu aendane na mawazo yenu?
 
Sio mimi tu!
Mamilioni ya watu wenye akili barani Africa na Dunia kwa ujumla wana kumbuka.
Kuna watu hawafurahi kabisa kuona Magufuli anakumbukwa na wanafanya kila wanaloweza kuifuta legacy yake lakini ni kazi bure.
Wazalendo wa kitanzania na Africa kwa ujumla wataendeleankumkumbuka Magufuli daima.
Kutesa kwa zamu,sasahivi ni mamaaa mamaaa mamaaa mitano tena
 
Maelekezo kutoka juu .asije kosa content
Wapumbavu hamuwezi kuisha Dunia hii. Poleni sana. Wanafamilia wanajua umuhimu wa huko juu mpaka wanamtaja kwenye misa ya kumbukizi......nyie endeleeni na ramli chonganishi zenu.
 
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.

Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.

R.I.P JPM Mwamba.

Huyu Magufuli alitesa watanzania kila nyanja na haya ndiyo matokea yake. Ukiona wanaolazimiisha akumbukwe ujuwe kuwa labda walikuwa wanufaika wake.

Muache aendelee tu kuungua ma moto wa ahera
 
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.

Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.

R.I.P JPM Mwamba.

Anzisha TV na Radio utangaze 24/7 , 365 days hakuna atakayekuzuia.
 
Watanzania wanafiki sana wakati ndio mlichangia kifo chake poor tanzanian.
 
Wao viongozi hawatakufa ,wataishi milele na mungu ni ndugu yao ,wanaziba masikio ,wanafumba macho wanajifanya wao ndo wao,serikali kupoteza kumbukizi ya magufuli ni dosari kuu,radio,tv,zote wako bizee, hakika ubaya wenu roho mbaya zenu mtakufa vinywa wazi
 
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.

Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.

R.I.P JPM Mwamba.

IMG-20250319-WA0002.jpg

Juzi nilimuona mtoto Jessica akiwa jirani na Martin Shigela, waambien watuwekee hata madirisha pale jimbon maana kanisa halina hela saivi 😊
 
Back
Top Bottom