Kiongozi pekee mwenye hadhi ya kipekee ndani ya nchi hii ni muasisi wa taifa ambaye ni Nyerere na Karume basi ,maraisi wengine wote hadhi zao zinalingana hakuna aliye bora kumzidi mwingine.Magufuri atakumbukwa kama Kiongozi ambaye alisha wahi kuiongoza Tz kwa kipindi fulani kama alivyo maraisi wengine tu na sivinginevyo.
Alafu haya mambo ya kuadhimisha sijui vifo vya viongozi yapo Afrika ambapo muda kwetu huwa hauna thamani ,ww ulisha wahi kusikia Marekani inaadhimisha kifo cha Washington?au ulisha wahi kusikia China wana acha kwenda kufanya mambo ya maana eti wanaanza kuadhimisha kifo cha Mou?