DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kiongozi pekee mwenye hadhi ya kipekee ndani ya nchi hii ni muasisi wa taifa ambaye ni Nyerere na Karume basi ,maraisi wengine wote hadhi zao zinalingana hakuna aliye bora kumzidi mwingine.Magufuri atakumbukwa kama Kiongozi ambaye alisha wahi kuiongoza Tz kwa kipindi fulani kama alivyo maraisi wengine tu na sivinginevyo.Na vilevile kwenye Katiba hakuna sehemu iliyokataza Kiongozi aliefia madarakani asitengewe siku maalumu!!
Wewe usiye na chuki naye mbona haukuzikwa pamoja naye kudhihirisha upendo wako wa dhati?Punguza chuki kwa Marehemu, maisha hayataki hasira!!
Basi ww ukiendelea kumkumbuka inatosha.Magufuli alikuwa rais bora ndani ya bara la Africa.
Kakaa ikulu muda mfupi sana lakini atakumbukwa kwa miaka mingi sana!.
Vyombo vya habari na wamiliki wake ni wanafiq tu!VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.
Mbona marais wengine hawakumbukwi kwann iwe kwa magufuri tu?Leo nimesikiliza TBC FM na radio nyingine ukweli ni kwamba huyu jamaa Leo hajakumbukwa kabisa
Hakika ukiwa mtu mbaya Energy yako inapotea haraka Sana.
Kwani hao wengine nao walifariki tarehe 17 march?Kwani magufuri ndo rais wa kwanza kufariki hapa tz ,kwa nn magufuri na si wengine?
Magufuri kipindi cha uhai wake alikuwa anakataza vyombo vya habari kutangaza habari za wenzake akina Lisu.Vyombo vya habari na wamiliki wake ni wanafiq tu!
Mbona marais wengine hawakumbukwi kwann iwe kwa magufuri tu?
Ww tangu mkapa amekufa ulisha sikia kuna maadhimisho ya kifo cha mkapa?Kwani hao wengine nao walifariki tarehe 17 march?
Wafuasi wa Magufuri hawataki kumbukumbu za watu binafisi bali wanataka maadhimisho ya kitaifa kabisa.Kinachokumbukwa ni Energy ya marehemu mfano Energy ya Mwinyi itakuwa kubwa Sana kuliko ya Mkapa na Magufuli na hii inatokana na matendo yao
Naunga mkono hoja. Sioni sababu ya kumuenzi diktetaYeye awamu yake ndio alikuwa anawapangia cha kuripoti na kutangaza, sasa zama zake zimepita wanamtangaza mwingine..!!
Aisee!Yeye awamu yake ndio alikuwa anawapangia cha kuripoti na kutangaza, sasa zama zake zimepita wanamtangaza mwingine..!!
KabisaWafuasi wa Magufuri hawataki kumbukumbu za watu binafisi bali wanataka maadhimisho ya kitaifa kabisa.
Mimi kwa upande wangu sijui lakini taarifa za lissu kurejea bongo kwenye uchaguzi zote tulizipata live kwenye vyombo vya habari!Magufuri kipindi cha uhai wake alikuwa anakataza vyombo vya habari kutangaza habari za wenzake akina Lisu.
YEye alihakikisha vyombo vimtangaze peke yake na habari zake alipokuwa hai.VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.
Uko sawaYeye awamu yake ndio alikuwa anawapangia cha kuripoti na kutangaza, sasa zama zake zimepita wanamtangaza mwingine..!!