Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

Inamaana wwe kama wwe huna maamuzi yako hadi ujifunze kwa Marekani na China!? Hizi ni akili za kitumwa!!
 
Inamaana wwe kama wwe huna maamuzi yako hadi ujifunze kwa Marekani na China!? Hizi ni akili za kitumwa!!
Kutumia muda kwa ajili ya kufanya mambo yasiyo kuwa na umuhimu wowote kwa nchi ni upuuzi na ujinga.
Hivi unajua ni mabilion mangapi ya pesa nchi inapoteza kwenye hayo yanayo itwa maadhimisho ya Nyerere na Karume day?
Mambo ya msingi hamna muda nayo ila mmefokasi kwenye mambo ya kijinga na yasiyo kuwa na faida kwa nchi.
 
Ubaya ubwela, waandishi hawataki kubaki na deni..!!
Ila jiwe alichangia sana kuua vyombo vya habari na damage yake ni kubwa, mpaka kuja kukaa sawa Itachukua muda..!!

Tabia yake imewapa nguvu viongozi wanaofatia kuona chochote unaweza kufanya na hakuna wa kukupinga..!!
 
Alivuruga sana vyombo vya habari ambavyo vilikuwa sehemu ya wananchi kufikisha kero zao na kuibua madudu..!! Mfano hapa hapa jukwaani siku hizi hakuna habari zile moto moto kutoka jikoni..!!
Sawa kabisa yule jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Aliminya kabisa uhuru wa habari. Alikuwa mpuuzi sana
 
aisee nimekosakosa kupita chato leo kumbe kulikuwa na jambo zito
 
Kwani ni ajabu sana Rais kufia madarakani?

Ama alikuwa na makubaliano na Mungu lazima astaafu ndiyo afe hivyo kitendo cha kufa akiwa madarakani ni kukiuka makubaliano hadi iwe kitu cha kushangaza?
Jamaa Lina chuki na marehemu hili litakuwa cheti feki ama miongoni mwa watendaji wazembe waliotumbuliwa
 
Basi ww ukiendelea kumkumbuka inatosha.
Sio mimi tu!
Mamilioni ya watu wenye akili barani Africa na Dunia kwa ujumla wana kumbuka.
Kuna watu hawafurahi kabisa kuona Magufuli anakumbukwa na wanafanya kila wanaloweza kuifuta legacy yake lakini ni kazi bure.
Wazalendo wa kitanzania na Africa kwa ujumla wataendeleankumkumbuka Magufuli daima.
 
Machawa kazini huko Chato nani atawalipa machawa??? Mambo iko Kzmkz babuuuuuu machawa 24/7
 
ROSTAM AZIZI NDIYE ANAYE ZUIA HAYO
 
Madhira ni mengi sana ndugu yangu ila hatuna cha kufanya zaidi ya kushukuru kwa yote
 
Hata wote tukikaa kimya ardhi, ndege na miti itaongea
 
Ndiyo chawa na kunguni walivyo ukiwa mzima wanakushobokea sana na kukupa sifa ambazo hata hauna ili wapate ulaji ukijifia tu hawana habari na wewe,hata huyo mama yenu anatakiwa alijue hilo tena yeye ndiyo namuonea huruma sana maana siku hiyohiyo anatoka Ikulu wataanza kumponda na kumnanga kama siyo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…