Sasa ww na hao mabilion unao wasema simumkumbuke iweje mrazimishe kila mtu aendane na mawazo yenu?Sio mimi tu!
Mamilioni ya watu wenye akili barani Africa na Dunia kwa ujumla wana kumbuka.
Kuna watu hawafurahi kabisa kuona Magufuli anakumbukwa na wanafanya kila wanaloweza kuifuta legacy yake lakini ni kazi bure.
Wazalendo wa kitanzania na Africa kwa ujumla wataendeleankumkumbuka Magufuli daima.
Kutesa kwa zamu,sasahivi ni mamaaa mamaaa mamaaa mitano tenaSio mimi tu!
Mamilioni ya watu wenye akili barani Africa na Dunia kwa ujumla wana kumbuka.
Kuna watu hawafurahi kabisa kuona Magufuli anakumbukwa na wanafanya kila wanaloweza kuifuta legacy yake lakini ni kazi bure.
Wazalendo wa kitanzania na Africa kwa ujumla wataendeleankumkumbuka Magufuli daima.
Ni nani na wapi umelazimishwa kwenda na mawazo yetu?!Sasa ww na hao mabilion unao wasema simumkumbuke iweje mrazimishe kila mtu aendane na mawazo yenu?
Wapumbavu hamuwezi kuisha Dunia hii. Poleni sana. Wanafamilia wanajua umuhimu wa huko juu mpaka wanamtaja kwenye misa ya kumbukizi......nyie endeleeni na ramli chonganishi zenu.Maelekezo kutoka juu .asije kosa content
MmmmmmmmmmYeye awamu yake ndio alikuwa anawapangia cha kuripoti na kutangaza, sasa zama zake zimepita wanamtangaza mwingine..!!
Huyu Magufuli alitesa watanzania kila nyanja na haya ndiyo matokea yake. Ukiona wanaolazimiisha akumbukwe ujuwe kuwa labda walikuwa wanufaika wake.VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.
Alikufa akiwa madarakani sababu ya uovu wakeNa vilevile kwenye Katiba hakuna sehemu iliyokataza Kiongozi aliefia madarakani asitengewe siku maalumu!!
Kwani wote walifariki 17Mar?Kwani magufuri ndo rais wa kwanza kufariki hapa tz ,kwa nn magufuri na si wengine?
Kwani alikuwa mbaya?Leo nimesikiliza TBC FM na radio nyingine ukweli ni kwamba huyu jamaa Leo hajakumbukwa kabisa
Hakika ukiwa mtu mbaya Energy yako inapotea haraka Sana.
Mweeee! Punguza ukali wa manenoAlikufa akiwa madarakani sababu ya uovu wake
Anzisha TV na Radio utangaze 24/7 , 365 days hakuna atakayekuzuia.VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.
Hii nalo nenoYeye awamu yake ndio alikuwa anawapangia cha kuripoti na kutangaza, sasa zama zake zimepita wanamtangaza mwingine..!!
Hivyo vyombo mnavyo lazimisha viwape atesheni ni vya kwenu?Ni nani na wapi umelazimishwa kwenda na mawazo yetu?!
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja mmija kwa kujiongeza ndo anaamua kumkumbuka kwa namna yake na wengine wameenda chato kwenye Misa.
R.I.P JPM Mwamba.