Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

Wanajipendekeza kwa magufuli maana wanajua kule kwa mbogamboga ukijipendekeza sana lazima ukumbukwe kwenye teuzi za ukurugenzi, ukiwa wa kike unapewa angalau Udc
 
Sasa huyu mgombea wenu kila wakati anaongea kwa Jaziba tu nani hapa TZ anataka mtu wa namna hiyo. Eti tena anasema atawapeleka watu Barabarani anafikiri WATZ ni mbulula kiasi hicho cha kupelekwa tu? Atawapata labda hao wanasaccos wasiyo jitambua.
 
Sio vyombo tu vya habari, hata uraiani huku watu wanamkacha lissu!
 
Anzisha chako uweke unachotaka au broadcast unachotaka


Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
WATANZANIA WAMECHUKIA SANA KWA CHADEMA KUNAJISI WIMBO WA TAIFA HALAFU MKADAI ACHA TUONE MTAFANYWA NINI.SASA HAYO NDIYO MAJIBU.MSIPOTUBU MTAPATA TAAAAABU SANA
 
Hivyo vya habari si vya bure. Ni biashara. Ni viwanda vya kuzalisha habari. Ni ajira. Unalipa cash ya kutosha wanakufanyia kazi unayotaka kwa kiutalaam wa habari zinazozingatia maadili ya proffesion hiyo hiyo ya habari. Nyie mnadhani profession ya kulipia ni ya uwakili wa sheria tu.

Hata wasii wa bongo fleva lazima uwalipe. Wanamiliki viwanda vinavozalisha nyimbo na movie zinazozingatia maadili ya theatre arts profession.

Chadema haina pesa za kulipa huduma hizo. Wanategemea zitoke kwa washirika wao mabeberu. Tukizidaka ni halali yetu kwani ni kinyume na sheria zetu. Hivyo acha kulalamika. Chapa kazi mpate pesa ya kulipia bidhaa hizo kutoka kwenye viwanda hivyo!

Na bado. Kwenye kampeni ndiyo hamtaonekana kabisa kwani gharama zake ni kubwa. Mkiendelea kutegemea hivyo vyombo vya mabeberu yenu vya DW na BBC itakula kwenu kwani wapiga kura hawasikilizagi wala kuangalia matangazo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…