Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari.
sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka.
Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli.
Wakati nipo chuo kikuu Prof wangu moja aliniambia kazi ya uandishi wa habari hahitaji elimu kubwa inahitaji kuwa mbunifu na kutokuwa muoga. Ndio maana hakuna Profesa au Dkt anaetangaza au kwenda kwenye site kuhoji. Ukifika Dkt unapewa afisi zenye kiyoyozi.
Tunaona Aljazeera anavyochambua vita vya Gaza na tumeona masambulizi ya waandishi wao kulengwa moja na mizinga ya Isreal na kuuwawaa. Lkn Aljzaeera wamesimama kidete.
Gazeti la Mwanachi
Juzi lilitupa habari ya kuitwa kwa Makonda katika kikao cha CCM. Mwanachi walisema wamefunga kambi Dodoma kufatilia kikao kile.
Cha kushangaza taarifa yao ni kutonesha tu gari alilopanda Mh Makonda kilichozungumzwa mpaka wapo kimya.
Kama walipata taarifa ya kikao tunaamini na taarifa kilichozungumzwa wanakijua, na kama hawakijui basi haikuwa na haja na timu ya gazeti hilo kufunga kambi.
Mwananchi wanasubiri press conference? Kama kikao cha watu zaidi ya 8 wanashindwa kuitoa pengine kwa kuambiwa na waliohoji au kuhojiwa wasitoe. kama ndio hivyo. basi msiba mkubwa
Jumapili njema
CC