babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Issue hapa (kwa Kovid19) ina anzia na watawala kuwapa huo upenyo wa kujaza pengo lililopo na "data" zao. Usipotoa takwimu muhimu zenye kuaminika basi ujue wajanja watajazia. Wewe huna takwimu na wao hawana sasa inategemea nani ana aminiwa na nani.My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Tuwe waangalifu hapa, mimi ninacho ona ni watanzania wa aina fulani kujenga picha kuwa Raisi wetu ni mwamba wa korona, nchi nyingine zinamsifu, nchi nyingine zina muiga. Mwisho tuna amini hivyo na mwingine akisema vinginevyo basi balaa lina anza. Jana tulishuhudia ITV wakibinya taarifa za COVID 19 huku Tanzania kisa zilikuwa hasi, tunataka kusikia taarifa chanya lakini vitendo vyetu vingine hutia shaka.Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Kuna watu wana masikio na wanasikia lakini hawasikilizi- serikali imesema Corona ipo na narudia Corona ipo isipokuwa wagonjwa ndio wamepungua (ama kwa kufariki au kupona) na imesema tuendelee kuchukua tahadhali.Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.
Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.
Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.
Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.
Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak

John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
Wanabodi,

Seriously? kuwa hujui faida yao? Sasa ngoja nikupe faida zao;Wanabodi,

Mkuu p Pole sana kwa kuandiak mada Ndeeefu.ila pamoja na urefu wa Bango lako,Wanabodi,

Tahadhari kama ile tuliyo iona coco beach ?Kuna watu wana masikio na wanasikia lakini hawasikilizi- serikali imesema Corona ipo na narudia Corona ipo isipokuwa wagonjwa ndio wamepungua (ama kwa kufariki au kupona) na imesema tuendelee kuchukua tahadhali.
Anafuta teuzi huyoPascal Mayalla, Umejuaje kama wanaongopa?
Paskali hapo ndipo unapofeli na ndiyo maana unapishana na magari ya uteuzi na hata mahela ya kishindo cha awamu ya 5! wewe mara nyingi unaleta habari mbaya toka vyombo vya habari vya nje badala ya kuja na habar taaaaaamuuuu zinazosifia awam ya 5 au kama vipi nawe uwe unajibu hizo habari mbaya kupitia magazeti yetu pendwa uhuru, mzalendo, tanzanite, dailynews uone faster tu Dr. Abbass atapangiwa kazi nyingine nawe utakuwa enzin mawinguuuniWanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.
Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.
Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni kwa huku Tanzania bara ni vifo 16 tuu, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, wandai kuwa wao wameambiwa na source wao kuwa watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!. Huu ni uongo kabisa!, kama serikali yetu imesema waliokufa ni watu 16, then ukweli wa waliokufa ni 16, sasa hiyo idadi ya uongo na uzushi wanaipata wapi na kwa uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?!.
Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
Vipi mzee hapo hamna fursa ya kujipendekeza kwa mabeberu?Bado hamumjui Pasco, anataka msome hiyo Habari. Someni tu!
Sasa namwelewa Nyerere kwa nini aliyakataa haya makabila makubwa kushika madaraka makubwa nchini.Magufuli.
Bashite.
Gwajima.
Dudu Baya.
H. Baba
Mayalla.
Aisee, Wasukuma awamu hii sijui wamepatwa na JINI Gani, Daaah !!