Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Status
Not open for further replies.

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mchoraji maarufu wa katuni pale DW nchini Ujerumani ametoa mchoro unaoelezea uhalisia wa yanayo endelea kati ya shirika la afya duniani WHO na wenye maamuzi nchini Tanzania.

Je, hii ni sifa kwa taifa?

Screenshot_20210202-113957.jpg
 
Mchoraji maarufu wa katuni pale DW nchini Ujerumani ametoa mchoro unaoelezea uhalisia wa yanayo endelea kati ya shirika la afya duniani WHO na wenye maamuzi nchini Tanzania.

Je, hii ni sifa kwa taifa?

View attachment 1692360
Hivyo vyombo tumieni hapo ufipani. Sisi tulianza na nyungu, na tutaendeleza nyunguu
 
Hivi kwani Nyungu sio dawa? Au kuendekeza utumwa tu! Mpaka whites wakisema kitu ndo kiwe sahihi

Bara la Africa lilikuwepo hata kabla ya whites kuja kutuvamia. Wazee wetu kabla ya kuja whites walikuwa wanajitibia na nini? Dawa walizokuwa wanatumia zilikuwa zinasibitishwa na nan? Au walikuwa hawaumwi?

TUACHE UTUMWA WA KIFIKRA
 
Mchoraji bwana........... Chanjo inakataliwa kwa sababu hakuna Corona ila watu wanashauriwa kupiga nyungu tena wamewekewa kabisa na wiki ya kupiga nyungu................ nyungu inatibu ugonjwa gani? Nimonia na changamoto ya upumuaji.
 
Wazungu wameshaanza kukutwa na Corona hata baada ya kupigwa chanjo mbili mbili huko USA, tena ni wakubwa. Jiulize huko mtaani wapo wangapi ambao hawajaripotiwa. Hizo chanjo ni miradi ya watu. Enyi BAVICHA amkeni usingizini.
Screenshot_20210202-000049.png
Screenshot_20210201-235930.png




Soma hizo link halafu mpunguze utumwa wa akili na UPUMBAVU vichwani mwenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom