Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Status
Not open for further replies.
Wazungu wameshaanza kukutwa na Corona hata baada ya kupigwa chanjo mbili mbili huko USA, tena ni wakubwa. Jiulize huko mtaani wapo wangapi ambao hawajaripotiwa. Hizo chanjo ni miradi ya watu. Enyi BAVICHA amkeni usingizini.View attachment 1692371View attachment 1692372

Soma hizo link halafu mpunguze utumwa wa akili na UPUMBAVU vichwani mwenu.
Wewe ndiye mpumbavu unaye danganywa kuiita rangi nyeupe kuwa ni nyeusi,wacha kuwa mtumwa wa wanasiasa
 
Mzee Mkapa (RIP) angekuwepo angeyaafiki haya yanayoendelea nchini?
 
wewee endelea kusubiri chanjo
Mimi mwenzio kila siku nakunywa juisi ya miwa ndani kuna limao na tangawizi.
Mwak wa 5huu hya malaria siijui.wala homa n.k.
Kasoro nyungu sijapiga.maana nipo vizuri.
Gongeni nyinyi maana mna uzoefu wa kutosha tangia kwa Babu Ambilikile
 
Wazungu wameshaanza kukutwa na Corona hata baada ya kupigwa chanjo mbili mbili huko USA, tena ni wakubwa. Jiulize huko mtaani wapo wangapi ambao hawajaripotiwa. Hizo chanjo ni miradi ya watu. Enyi BAVICHA amkeni usingizini.View attachment 1692371View attachment 1692372

Soma hizo link halafu mpunguze utumwa wa akili na UPUMBAVU vichwani mwenu.
Kawadanganye lumumba wenzako na mtakwisha kwa uzuzu wenu
 
Hivi kwani Nyungu sio dawa?.. au kuendekeza utumwa tu! Mpaka whites wakisema kitu ndo kiwe sahihi

Bara la Africa lilikuwepo hata kabla ya whites kuja kutuvamia. Wazee wetu kabla ya kuja whites walikuwa wanajitibia na nini? Dawa walizokuwa wanatumia zilikuwa zinasibitishwa na nan? Au walikuwa hawaumwi?

TUACHE UTUMWA WA KIFIKRA
Kama ni ivyo acheni na kumuabudu mungu wao JESUS CHRIST sababu na yeye ni mzungu
 
wewee endelea kusubiri chanjo
Mimi mwenzio kila siku nakunywa juisi ya miwa ndani kuna limao na tangawizi.
Mwak wa 5huu hya malaria siijui.wala homa n.k.
Kasoro nyungu sijapiga.maana nipo vizuri.
Akili na mawazo yenu hayana tofauti na yale ya KIBWETERE
 
Wewe ndiye mpumbavu unaye danganywa kuiita rangi nyeupe kuwa ni nyeusi,wacha kuwa mtumwa wa wanasiasa
Kila mtu aliye JF hata wapinzani wenzako wanaujua vizuri uwezo wako wa kufikiri(thinking capacity) yako ilivyo chini kiasi cha kuchukua picha ya basi Google na kuli edit Photoshop na kudai kazawadiwa Lissu ukaliandika SERA MBADALA. Tangu 2019 halijafika na ushahidi upo humu. Mtu wa namna yako ni MPUMBAVU wa kiwango cha juu. Nasisitiza huna akili.
 
Usisahau na ile ya Madagascar, iliishia kwao, waligawana mpaka le hatujui nani alikunywa na nani hakunywa
Kodi ya walala hoi ilitumika vibaya sana
 
Wazungu wameshaanza kukutwa na Corona hata baada ya kupigwa chanjo mbili mbili huko USA, tena ni wakubwa. Jiulize huko mtaani wapo wangapi ambao hawajaripotiwa. Hizo chanjo ni miradi ya watu. Enyi BAVICHA amkeni usingizini.View attachment 1692371View attachment 1692372

Soma hizo link halafu mpunguze utumwa wa akili na UPUMBAVU vichwani mwenu.
Awajamaa wa Bavicha akilizao wamezitunza store.
 
Kila mtu aliye JF hata wapinzani wenzako wanaujua vizuri uwezo wako wa kufikiri(thinking capacity) yako ilivyo chini kiasi cha kuchukua picha ya basi Google na kuli edit Photoshop na kudai kazawadiwa Lissu ukaliandika SERA MBADALA. Tangu 2019 halijafika na ushahidi upo humu. Mtu wa namna yako ni MPUMBAVU wa kiwango cha juu. Nasisitiza huna akili.
Haitasaidia kuiondoa corona Tanzania na uzuri wa corona inawabamiza watu wehu kama nyinyi.
 
Hata jina lako linaonyesha uhalisia wako we tuache sie kina madindigwa we nenda kapate chanjo huko
Wacha kujidanganya hapa Tanzania chanjo haiwezi kuepukika na mkubali msukubali lazima itakuja na watu watachanjwa tu,

Hakuna masikini anayeweza kumbishia tajiri tena kwenye jambo la kunusuru maisha ya watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom