Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Status
Not open for further replies.
Susieni na ARV muone mtakavyo pukutika na mavitambi yenu ya kuchonga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa tunapokea dawa tuliyojiridhisha nayo ndio tupokee zote hata tunazotilia mashaka?

F72A1B81-1F16-4B4E-97F7-C58DD1448E87.jpeg
 
Hapo ndiyo uwezo wenu ulipofikia maana kila mtu anaye kosoa mawazo yenu mnambatiza jina la Bavicha
........mkuu hawa vijana Wa CHADEMA wanapinga hata ujenz wa SGR wakat watakua wa kwanza wenyew kupanda😄😄😄
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom