Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

Status
Not open for further replies.
Kama ni ivyo acheni na kumuabudu mungu wao JESUS CHRIST sababu na yeye ni mzungu
Kwani Ni wote wanaabudu Mungu? Na hajawahi kuona mtu ambae haabudu Mungu anafanya mema kuliko hao wanaojifanya watu wa Mungu?
 
Wabunge na viongozi wangapi wa CCM wana UKIMWI ikiwemo Ndugai na wanaishi kwa ARVs toka kwao??? Unakataa dawa ya COVID 19 ila ARV sawa???? Kataeni na ARVS Tuone
Dhibitisha uhalali wa vipimo vya hayo magonjwa kwa hawa waheshimiwaa.
 
Hivi kwani Nyungu sio dawa? Au kuendekeza utumwa tu! Mpaka whites wakisema kitu ndo kiwe sahihi

Bara la Africa lilikuwepo hata kabla ya whites kuja kutuvamia. Wazee wetu kabla ya kuja whites walikuwa wanajitibia na nini? Dawa walizokuwa wanatumia zilikuwa zinasibitishwa na nan? Au walikuwa hawaumwi?

TUACHE UTUMWA WA KIFIKRA
Issue sio kusema,tupeni tafiti zilizoidhinisha tiba yetu .nasii kudanganyana hapa,na uhakika wa tiba yake kwa asilimia.
 
watuache tunaoitaji chanjo na wasio wata waendelee kupiga nyungu kama walivyosema pia, wanaotaka kujifungia wajifungie, tuwe huru aseee
 
Kwani Ni wote wanaabudu Mungu? Na hajawahi kuona mtu ambae haabudu Mungu anafanya mema kuliko hao wanaojifanya watu wa Mungu?
Wacheni na kumeza ARV zao hao wazungu tuone kama hamtapukutika kama kumbikumbi
 
Ukiona ngoma imevuma sana inakaribia kupasuka. Sada huyu kambochi siku zake zaweza kua zinaesabika au zetu zinaesabika
 
Wabunge na viongozi wangapi wa CCM wana UKIMWI ikiwemo Ndugai na wanaishi kwa ARVs toka kwao??? Unakataa dawa ya COVID 19 ila ARV sawa???? Kataeni na ARVS Tuone
******* anagonga shudu,anakataa chanjo ya covid!
Au atakuwa ameipiga kisirisiri!
 
Watumie Kwanza wao wenyewe WAPONE.
Wakati kuna wanaochanjwa na kufa. Wengine wamechanjwa na bado wakaambukizwa tena[emoji57][emoji57][emoji57]
IMG-20210131-WA0046.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Watu mnacheka Magu,Elon Musk miezi 4 iliyopita alisema yeye hatochoma chanjo ya Corona.Kumbuka huyu ni Mwanasayansi anayefanya mambo yake kwa ukamilifu na si kukurupa kama watu wanavyo zikurupukia hizi chanjo.

Hivi kwa nini nguvu kubwa inatumika kueshinikiza Afrika ikubali chanjo?
 
Hivi kwa nini nguvu kubwa inatumika kueshinikiza Afrika ikubali chanjo?
Hiyo chanjo ni ya majaribio, wakiona inafaa ndio wanawapelekea binadamu huko ulaya baada ya sisi wanyamapori huku Afrika kuwa tumeijaribu, hiyo wanayopewa wazungu sasa hivi ni placebo tu, sio chanjo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom