Tutachomwa kama tulivyochomwa yellow fever, tutachomwa kama tulivyochomwa zile za clinic. hutaambiwa lazima ila utakutana na vikwazo tu vitakufanya mwenyewe kwenda kufungua mkono. kwani lazima mpaka ushikwe barabarani? utalazimishwa kwa njia za akili tu wenyewe tutapiga foleni.