Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Feb 2, 2021 Thread starter #101 FRANCIS DA DON said: Kisa tumekataa chanjo [emoji23][emoji23][emoji23], ina nini kwani hiyo chanjo jamani?, mbona hivi lakini?! Click to expand... Susieni na ARV muone mtakavyo pukutika na mavitambi yenu ya kuchonga Sent using Jamii Forums mobile app
FRANCIS DA DON said: Kisa tumekataa chanjo [emoji23][emoji23][emoji23], ina nini kwani hiyo chanjo jamani?, mbona hivi lakini?! Click to expand... Susieni na ARV muone mtakavyo pukutika na mavitambi yenu ya kuchonga Sent using Jamii Forums mobile app
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Feb 2, 2021 #102 Mmawia said: Susieni na ARV muone mtakavyo pukutika na mavitambi yenu ya kuchonga Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kisa tunapokea dawa tuliyojiridhisha nayo ndio tupokee zote hata tunazotilia mashaka?
Mmawia said: Susieni na ARV muone mtakavyo pukutika na mavitambi yenu ya kuchonga Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kisa tunapokea dawa tuliyojiridhisha nayo ndio tupokee zote hata tunazotilia mashaka?
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Feb 2, 2021 #103 Mmawia said: Hapo ndiyo uwezo wenu ulipofikia maana kila mtu anaye kosoa mawazo yenu mnambatiza jina la Bavicha Click to expand... ........mkuu hawa vijana Wa CHADEMA wanapinga hata ujenz wa SGR wakat watakua wa kwanza wenyew kupanda😄😄😄
Mmawia said: Hapo ndiyo uwezo wenu ulipofikia maana kila mtu anaye kosoa mawazo yenu mnambatiza jina la Bavicha Click to expand... ........mkuu hawa vijana Wa CHADEMA wanapinga hata ujenz wa SGR wakat watakua wa kwanza wenyew kupanda😄😄😄